makabila ya mkoa wa tangamakabila ya mkoa wa tanga
pamoja na asili fupi ya Wazigua, Wanguu, Wakilindi, Wasambaa, Wabondei na Waluvu, Mradi wa Historia ya Makabila ya Mkoa wa Tanga pamoja na Maisha Bora Human Development Centre, Rezensionen werden nicht berprft, Google sucht jedoch gezielt nach geflschten Inhalten und entfernt diese, Asili ya Wazigua waishio Somalia: pamoja na asili fupi ya Wazigua, Wanguu, Wakilindi, Wasambaa, Wabondei na Waluvu, Mradi wa Historia ya Makabila ya Mkoa wa Tanga pamoja na Maisha Bora Human Development Centre, 2006. Kama akishindwa kulipa ataendelea kuishi upande wa mkewe kwa maisha yake yote na hata kama akifariki atazikwa upande wa ukweni kama ukoo wa upande wa mume hautamlipia, ila kama wakimlipia watapewa mwili kuzika upande wa mume. HII HAPA NDIO TAFITI MPYA 2019 Fplus.com. Pia mtoto akishazaliwa hukaa ndani, na baada ya siku 40 hutolewa nje na kupewa jina la Lungo. 5. Jaribio la Uingereza kuvamia Tanga kwa kikosi cha maaskari 8000 Waingereza na Wahindi kutoka meli kwenye Bahari Hindi ilishindwa vibaya na Jeshi la Ulinzi wa Kijerumani chini ya uongozi wa Paul von Lettow-Vorbeck. Bidhaa zao hizi ziliuzwa hata kwa Wasambaa. 2,950. Wazigula (au Wazigua) ni kabila la watu kutoka eneo karibu na Bahari Hindi baina ya Dar es Salaam na Tanga, nchini Tanzania. Lugha yao ni Kiburunge, Wachagga ni kabila la watu wenye asili ya Kibantu wanaoishi kaskazini mwa Tanzania chini ya mlima Kilimanjaro, mkoani Kilimanjaro. Makande (Mbure),ugali(hasa ule wa muhogo wanauita ibadaa), ndizi, wali kwa wale wanaoishi maeneo ya tambarare kama Ndungu, Kisiwani, Ngullu Kavagala Kwakoa Maore na Mpirani. Village Scene in Kiswani Ward of Muheza District, "Tanzania: Northern Zone(Districts and Wards) - Population Statistics, Charts and Map", "2002 POPULATION AND HOUSING CENSUS- General Report", https://en.wikipedia.org/w/index.php?title=Muheza_District&oldid=1111145193, Short description is different from Wikidata, Articles containing Swahili (macrolanguage)-language text, Creative Commons Attribution-ShareAlike License 3.0, This page was last edited on 19 September 2022, at 14:39. Kagera 16. Wapare wamegawanyika katika makundi mawili makubwa; wapare wa Pare ya Kusini ambao ni Wapare wa Same na Wapare wa Pare ya Kaskazini ambao ni Wapare wa Mwanga ambao nao wamegawanyika mara mbili: Wapare wa Ugweno (wanatumia lugha inayoitwa Kigweno) na Wapare wa Usangi (wanatumia lugha inayofahamika zaidi kama Kipare ambayo inatumiwa pia na Wapare wa Pare ya kusini ingawa inatofautiana kidogo katika matamshi). Wazigua ambao lugha yao ni ya jamii ya lugha za kibantu yasemekana wamekuwepo mkoani Tanga, wilaya ya Handeni kwa karne nyingi zilizopita. Miongoni mwa makabila ya Ghana kama vile Akan, Ga, Ewe na Nzema, jina hutumiwa kulingana na siku ya mtoto aliozaliwa. https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Wazigula&oldid=1255817, Creative Commons Attribution-ShareAlike License. Lugha yao ni Kizigula au Kinguu, ya jamii ya lugha za Kibantu. Showing 2 featured editions. When you buy books using these links the Internet Archive may earn a small commission. Mradi wa Historia ya Makabila ya Mkoa wa Tanga, 2003 - Ethnology - 198 pages. Kwa mfano, kwa Wapare kuna majina ya maeneo . Wanyakyusa . catalog, articles, website, & more in one search, books, media & more in the Stanford Libraries' collections, Remove constraint Series: "Makabila ya Mkoa Tanga ;", Asili ya Tanga pamoja na asili ya Wadigo, Wasegeju na Wadaiso : pamoja na koo na kabila nyingine ndogo ndogo zilizo ndani ya makabila haya, Asili ya Wazigua waishio Somalia : pamoja na asili fupi ya Wazigua, Wanguu, Wakilindi, Wasambaa, Wabondei na Waluvu. mnkeniafricanus@gmail.com. Shughuli kubwa ya Wachagga ni biashara na kilimo. Vyakula vya asili vinavyopendelewa kuliwa na Wazigua ni ugali unaopikwa kutokana na unga wa mahindi yaliyokobolewa na kuvundikwa kwa muda mrefu kabla ya kusagwa au kutwangwa. Ukurasa huu umebadilishwa kwa mara ya mwisho tarehe 15 Novemba 2022, saa 12:11. Kadiri ya hadithi hiyo, KwaZulu-Natal ya leo, asili yake ni Mzigua Zulu. Hadi leo hii mawe hayo yapo. Morogoro Region (Mkoa wa Morogoro in Swahili) is one of Tanzania's 31 administrative regions.The region covers an area of 70,624 km 2 (27,268 sq mi). Kilichobaki hasa ni kiwanda cha saruji Tanga. Wapare pia wanaishi katika wilaya ya Lushoto mkoani Tanga, sehemu za Bumbuli na Mavumo.. Lakini kutokana na mahusiano yaliyopanuka nchini Tanzania, Afrika na . Hawa wote ni Wasambaa na hutamka maneno yao ulimini, kwa mfano, tinakwenda, titarudi, titaonana kesho n.k. Wapare pia wana ukaribu na makabila ya Mkoa wa Tanga hasa Wasambaa, Wazigua na Wanguu. Utaratibu huu ulikuwa na manufaa makubwa maana ulirahisisha kazi na kujenga moyo wa kusaidiana. Unyevu iko juu kati ya asilimia 100 na asilimia 65. Wasafwa. Kiwili ni utaratibu ambapo familia au majirani hualikana ili kusaidiana katika kazi za kilimo, na hata mavuno hasa pale mmoja wao anapokuwa na kazi shambani mwake na kuhitaji msaada. Hivyo Wapare walijiita "Vambare" wakiwa na maana ya "sisi wa kabila moja, tunaoongea lugha ya Chasu". TOP 10 YA MAKABILA YENYE WANAWAKE WAZURI TANZANIA. Hata hivyo mila na desturi za Wagweno zinafanana zaidi na zile za Wapare wengine. Asili, mila na desturi. [1] It is bordered to the north by Mkinga District, to the east by Tanga and the Indian Ocean, to the south by the Pangani District and Handeni District, and to the west by the Korogwe District. Masimulizi yanasema walipoingia Tanganyika, walitamani kufanya makao yao kwenye miteremko ya Mlima Kilimanjaro, lakini wakavurumishwa na wenzao waliokuwepo kabla yao, yaani Wachagga. . Kwa jumla hali ya hewa ni joto lenye unyevu. Kulagasama ni tukio la kuagwa kwa waliooana mara baada ya kukamilisha mahari na taratibu zote za kimila. wachaga warembo,wakarimu,wachapa kazi,wafanyabiashiara wazuri ila jua kuwa wanathamini hela kwaivyo tafuta hela kwanza, Tanga ni wazur wanjali waume zao na ni watundu kula idara, Wairaki ni wazuri kuwazidi wote kwanza ukifuatilia asili Yao so wabantu, Wanyiramba Ni warembo Sana kushinda wote ata bila stima wamuona usiku. Wazigua ni kabila kubwa huko Handeni na sehemu za Korogwe na Pangani. 6.WANYATURU -Hawa ni wanawake wanaofananishwa na wanyarimba ni warembo na wenye mvuto na nidhamu kwa wanaume zao,upole na nidhamu yao upelekea kuolewa na kudumu Kwa ndoa. Mgomo huo uliofanikiwa ulijulikana kama mbiru. Asili, mila na desturi za kabila la Wazigua Wazigua ni mojawapo wa makabila ya asili ya mkoa wa Tanga. Hivyo neno Pare linatokana na neno "mbare", likiwa na maana ya kabila, au Mkabila au hata mara nyingine aina - katika kutofautisha aina za vitu (kwa Kiingereza "Classification"). Wandali. Mkoa wa Tanga ni kati ya mikoa 31 ya Tanzania na uko Kaskazini Mashariki mwa nchi, ukipakana na Kenya upande wa Kaskazini, Bahari Hindi upande wa mashariki na mikoa ya Morogoro, Manyara na Kilimanjaro wenye Postikodi namba 21000. kwa Novemba 29, 2013. Kiwiri pia kiliweza kuitishwa na majirani kuwalenga wazee waliochoka au wagonjwa, ambao kwa namna moja au nyingine walionekana kushindwa kumudu kazi zao za shambani. one of the prominent book written under ethno-historical knowledge full of historic-ism. Wapare pia wana ukaribu na makabila ya Mkoa wa Tanga hasa Wasambaa, Wazigua na Wanguu. Maandishi yanapatikana chini ya leseni ya. Historia ya makabila ya mkoa wa Tanga Makabila ya Mkoa wa Tanga: Author: Vincent Geoffrey Nkondokaya: Publisher: Mradi wa Historia ya Makabila ya Mkoa wa Tanga pamoja na Maisha Bora Human Development Centre, 2006: ISBN: 9987909124, 9789987909124: Length: 90 pages : Export Citation: BiBTeX EndNote RefMan: Katika hadithi za kale za Wazigua yasemekana kwamba hapo kale katika Uzigua, uliopo leo Tanzania, kulikuwa na familia ya wawindaji yenye watoto watatu: Zulu, dada yake na kaka yake. Jamla ya mikoa ni 31 Ile ya Zamani ilikua 26 na mpya 05 ambayo ni songwe, katavi, njombe, simiyu na Geita. Pia kuna Waarabu wengiwengi wenye asili ya Oman. October 29, 2019 Entertainment . Ukaribu wao uko katika lugha ambapo maneno mengi ya makabila haya yanafanana. Lugha yao ni Kizigula. Mengine ni Wapare, Wataita, Wambugu, Wasegeju na Wanago. Morogoro 8. Karibu katika ukurasa wetu wa facebook hivi punde baada ya kukamilisha kitabuchetu cha NGUVU YA UJASIRIAMALI tuta. ). Wazigula hupewa jina litakalotumika wakati na baada ya ndoa, badala ya kuitwa Andrew hivi sasa naitwa Samachau na mke wangu anaitwa Wanamachau. This group comprises the Wazigua, Wanguu, Wasambaa, Wabondei, Wakilindi, and Waluvu. View all 2 editions? On the history of tribal groups found in Tanga Province Tanzania. Tanga ilikuwa na viwanda vingi kiasi katika miaka ya 1960 na 1970 lakini karibu vyote vimekwama kutokana na siasa ya Ujamaa na uchumi wake ulioiga mfumo wa nchi za kisoshalisti. Wazigua ni kabila kubwa huko Handeni na sehemu za Korogwe na Pangani. Wapare pia wanaishi katika wilaya ya Lushoto, sehemu za Mgwashi, Mavumo, Lukozi, Shume na Makose. Asili ya Tanga pamoja na asili ya Wadigo, Wasegeju na Wadaiso, pamoja na koo na kabila nyingine ndogo ndogo zilizo ndani ya makabila haya, Mradi wa Historia ya Makabila ya Mkoa wa Tanga, Ulasan tidak diverifikasi, tetapi Google akan memeriksa dan menghapus konten palsu jika konten tersebut teridentifikasi, Asili ya Tanga pamoja na asili ya Wadigo, Wasegeju na Wadaiso: pamoja na koo na kabila nyingine ndogo ndogo zilizo ndani ya makabila haya, Mradi wa Historia ya Makabila ya Mkoa wa Tanga, 2006. Asili ya Waseuta, yaani, Wazigua, Wanguu, Wasambaa, Wabondei, Wakilindi na Waluvu, Mradi wa Historia ya Makabila ya Mkoa wa Tanga. Wako vipi nisifanye makosa? Wakati Rais Samia . #MkoawatangaMkoa wa Tanga ni kati ya mikoa 31 ya Tanzania na uko Kaskazini Mashariki mwa nchi, ukipakana na Kenya upande wa Kaskazini, Bahari Hindi upande wa. Asili ya Tanga pamoja na asili ya Wadigo, Wasegeju na Wadaiso : pamoja na koo na kabila nyingine ndogo ndogo zilizo ndani ya makabila haya . On the history of a tribal group known as Wazigua. Hii inaonesha kuwa asili ya Wagweno ni huko Uchaga. Mpaka upande wa kusini unafuata mto wa Mligaji. Hapo ndipo neno Vambare linabadilika katika Kiswahili na kuwa Wapare. Wakatoliki, japo ni wachache, wanapatikana zaidi katika maeneo ya Kilomeni, Kisangara Juu, Vumari, Gonja, Kighare na Mbaga. Kulikuwa na imani potovu kuwa mwanamke akizaa watoto mapacha analeta mkosi na laana kwenye ukoo pia mtoto akianza kuota meno na yakaanza kuotaa ya juu,kwa hiyo watoto hao waliuawa kwa kutupwa au huegeshwa juu kilele pembezoni wakiwa wamelala baada ya kunyonyeshwa ama kulishwa uji na wazazi wao kwenye jiwe kubwa ambalo kule Mbaga - Pare ya kusini linaitwa Malameni, Usangi - Mwero linaitwa Ikamba, Songoa ljiwe likaitwa mkumba vana, pia na Mfinga ya Kikweni makutano ya kwenda Ugweno na Usangi linaitwa Lubegho ambapo ni aghalabu mtoto kupona kwani akiamka toka usingizini akijigeuza tu hudondoka toka kule ju hadi chini nakufa. Ndiyo maana tunabagua, wanawake wazuri ni wazuri tu .wacha kutafuta sababu. Wanguu wapo magharibu kuelekea njia za Kiteto, Turiani na Gairo. Maana ya sentensi hiyo ni "twende tukamtafute, tukimkuta tuje naye". Need help? Wapare wanatokea katika wilaya za Same na Mwanga, mkoa wa Kilimanjaro, lakini pia wapo katika wilaya ya Moshi sehemu za Chekereni, Himo, Mabungo, Uchira, Moshi mjini, na pia katika wilaya ya Hai sehemu za Rundugai na mto Weruweru. Makabila makubwa mkoani Tanga ni Wasambaa, Wazigua, Wabondei na Wadigo. Waasu hawa wakatimka mbio na kuparamia milima ambayo sasa inaitwa milima ya Upare. Wanapatikana Bukoba. Wapare ni kabila kutoka milima ya Pare, Mkoa wa Kilimanjaro, kaskazini mwa nchi ya Tanzania. Tanga 14.kigoma 15. Mfumo wa ndala kwa maana ya familia kula chakula kwa pamoja unaonekana kuwa na manufaa yafuatayo. Kama haitoshi shule za watu binafsi hakuna hata moja. Wakati wafugaji wengi walihamia katika tambarare za Upareni, wakulima wao waliishi milimani na wafuaji wa vyuma walikaa maeneo yote yaliyokuwa na uwezekano wa kupata chuma. Ukaribu wao uko. HII HAPA NDIO TAFITI MPYA 2019, Post Comments 4. Asili ya Wazigua waishio Somalia : pamoja na asili fupi ya . Akianisha changamoto za kimazingira mkoani Tanga, Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Martin Shigella ameeleza kuwa kuna athari kubwa za mazingira kutokana na ukataji miti hovyo, uchimbaji holela wa madini katika vyanzo vya maji na sehemu za milima ya Amani hasa eneo ambalo kunapatikana vyanzo vingi vya maji lakini pia uwepo wa madini katika eneo hilo unahamasisha uchimbaji unaoharibu mazingira. Pili kushirikiana katika kula kunachochea ushirikiano katika mambo mengine kama shida au raha. Taarifa ya . Historia ya Wapare sehemu ya pili. Pia ni wavumilivu wenye kustahimili hali ngumu ya maisha ikiwa ni pamoja na njaa au kutokuwa na pesa. Asili ya Waseuta, yaani, Wazigua, Wanguu, Was 2003, Mradi wa Historia ya Makabila ya Mkoa wa Tanga. 15 Mei 2021. Kwa mfano, kwa Wapare kuna majina ya maeneo kama vile Gonja, Ndeme, Ndolwa n.k. On this Wikipedia the language links are at the top of the page across from the article title. Upo ushahidi wa kutosha kuhusu Wapare walivyotumia mfumo huu na kupata maendeleo makubwa Wilayani mwao. Find it Stacks. Wakati Wasangi wanaongea Kipare kinachoongelewa pia na Wapare wa maeneo mengine, Wagweno wao wana lugha yao iitwayo Kigweno. Mila ya kukeketa wanawake imekuwa ikipigwa marufuku na serikali mbalimbali za ulimwenguni kuwa ni kinyume cha haki za binadamu, hivyo basi kuna mila ambazo zinakomeshwa na serikali za nchi na nyingine zinapotea zenyewe taratibu, kutokana na kubadilika kwa hali ya maisha. Tools to help you discover resources at Stanford and beyond. In Swahili. Katika harakati za uwindaji kaka yake Zulu aliuawa na nyati, hivyo Zulu alibaki na dada yake tu. Ukurasa huu umebadilishwa kwa mara ya mwisho tarehe 19 Februari 2023, saa 02:09. 1956-[Dar es Salaam] : Mradi wa Historia ya Makabila ya Mkoa wa Tanga, 2006. Tanga ni kati ya mikoa midogo ya Tanzania ikiwa na msongamano mkubwa wa wakazi ndani ya eneo lake. Kulitokea ukame mkubwa, hivyo Zulu alikuwa akihamahama mpaka akafika eneo moja la Afrika ya Kusini na kuamua kukaa hapo na dada yake. Milima ya Usambara hakuna joto sana. Viwanda vichache vilivyobaki havizalishi mali kulingana na uwezo wao. MAKABILA YALIYOPO MKOANI MBEYA 1. Wasangu. 6. According to the 2002 Tanzania National Census, the population of the Muheza District was 279,423. Course- and topic-based guides to collections, tools, and services. It is bordered to the north by Mkinga District, to the east by Tanga and the Indian Ocean, to the south by the Pangani District and Handeni District, and to the west by the Korogwe District.The administrative capital of the district is Muheza town. Baada ya hao kupigana na Wareno na kuwashinda katika vita vikali vilivyojulikana kwa jina la "Nkondo ya kutula nyala" (Vita vya kuvunja mawe ya chakula), Waseuta walianza kugawanyika kwa kujimega makundimakundi na kuondoka. Wasambaa ndio kabila kubwa lililoko katika milima ya Usambara, Muheza, Korogwe na Lushoto. Kami tak menemukan resensi di tempat biasanya. Baada ya kusagwa hutoa unga mweupe na laini sana. Mara 2.mwanza 3.shinyanga 4. Wakati wa kupambana walikuwa wakiambiana, mpare mpareee wakimaanisha "mpige sana mpige!" This Tanga Region location article is a stub. 7. Asili ya Tanga pamoja na asili ya Wadigo, Wasegeju na Wadaiso : pamoja na koo na kabila nyingine ndogo ndogo zilizo ndani ya makabila haya . Umepakana na mikoa jirani ya Mwanza na Shinyanga upande wa kusini, Arusha upande wa kusini-mashariki, Kagera kwa njia ya Ziwa Nyanza na Kenya upande wa mashariki. Singida 6.dodoma 7. 3. Wabungu. Miezi ya Desemba - Machi halijoto huko Tanga inafikia sentigredi 30-32 mchana na 26-29 usiku. DOA LAJITOKEZA KATIKA JITIHADA ZA KUMALIZA MAPIGANO YA MUDA MREFU SUDAN KUSINI. Copy and paste this code into your Wikipedia page. Vile vile hata majina ya baadhi ya maeneo yaliyopo kwa Wapare yapo pia kwenye maeneo wanamoishi makabila kama vile Wasambaa na Wanguu. [Dar es Salaam] : Mradi wa Historia ya Makabila ya Mkoa wa Tanga, 2006. Wachaga nao wanalo neno linalofanana na hilo linaloitwa "Chasaka". Dar es Salaam : Mradi wa Historia ya Makabila ya Mkoa wa Tanga pamoja na Maisha Bora Human Development Centre, 2006. catalog, articles, website, & more in one search, books, media & more in the Stanford Libraries' collections. Msongamano ni mkubwa hasa wilaya ya Lushoto kwenye ardhi yenye rutuba nzuri. Physical description xix, 80 p. : ill., maps ; 21 cm. Inasemekana Wapare ni kabila lenye ujasiri na ni watu wa kupanga kabla ya kutenda. Wayaho na wamwela kweri wazuri wamakonde niache kidogo, hahahahahawamakonde wazuri kwa kunengua mauno kitandani tuwakifuatiwa na wangoni na wadigo, wachaga uzuri wao unategemeaila ninwazuri kusema ukweli, Wahaya + wanyiramba hatar Sana Ila dah ndgu zangu wanyamwezi vip , hao wengine wamechukua nafasi ya kuanzia namba kumi na moja kwenda mbele, Wanawake wote ni wazuri kwani wote wameumbwa kwa sura mfano wa Mungu. Pwani ni zaidi: takriban milimita 1,100 hadi 1,400 ikipungua sehemu za ndani isipokuwa milima ya Usambara ambako mvua inaweza kuzidi milimita 2000 kwa mwaka. Wasegeju na Wadaiso: pamoja na koo na kabila nyingine ndogo ndogo zilizo ndani ya makabila haya Makabila ya Mkoa Tanga: Author: Vincent Geoffrey Nkondokaya: Publisher: Mradi wa Historia ya Makabila ya Mkoa wa Tanga, 2006: ISBN: 9987909116, 9789987909117: Katika mkoa huu elimu inahitaji kuboreshwa zaidi, hasa maeneo ya vijijini, maana watu wengi wa mkoa huu hufanya shughuli zao za kimila; hali hiyo huwafanya kushindwa kuendelea na shughuli za kimaendeleo katika taifa la Tanzania. The town lies 45 km south of the city of Tanga, at the mouth of the Pangani River In 1888, Pangani was the center of an armed movement to resist German colonial conquest of the entire mainland Tanzanian coast. Physical and digital books, media, journals, archives, and databases. 3 - 5 Novemba 1914. Ugali huliwa na mboga za asili kama vile, Kungujulu, Sunga, Kididi, Mnavu, nyama za pori na uyoga. Mkoa wa Njombe, kutoka maeneo ya Mkoa wa Iringa (wilaya za Ludewa, Makete na Njombe) Mkoa wa Simiyu, kutoka maeneo ya mikoa ya Shinyanga (Bariadi, Meatu na Maswa) na Mwanza (Busega). Coordinates: .mw-parser-output .geo-default,.mw-parser-output .geo-dms,.mw-parser-output .geo-dec{display:inline}.mw-parser-output .geo-nondefault,.mw-parser-output .geo-multi-punct{display:none}.mw-parser-output .longitude,.mw-parser-output .latitude{white-space:nowrap}51815S 38193E / 5.30417S 38.31750E / -5.30417; 38.31750. Naomba wenyeji ama yeyote mwenye ufahamu na mkoa wa Singida hususani wilaya Singida Dc anifahamishe yafuatayo. Kubenea anamtuhumu Makonda kwa matumizi mabaya ya madaraka ya umma alipokuwa Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, kuvamia kituo cha televisheni cha Clouds Machi 17, 2017 na ukiukwaji wa haki za binadamu. Asili ya Wazigua waishio Somalia : pamoja na asili fupi ya . Katika tukio hili la kumtoa mtoto nje, mtoto hupakwa unga na kunyolewa nywele zake za utotoni na bibi yake ambaye mara nyingi ni mama wa baba yake. Ukaribu wao uko katika lugha ambapo maneno mengi ya makabila haya yanafanana. Watu wengi wanaishi kwenye mpaka wa kaskazini au pwani ya mashariki, huku sehemu kubwa ya nchi ikibaki na watu . On the history of indigenous peoples found in Tanga Region Tanzania. Neno msaragambo linamaanisha mfumo uliokubaliwa na jamii katika kitongoji, kijiji au kata wa kushirikiana katika kufanya kazi zenye faida kwa watu wote, maarufu kwa kazi za ujenzi wa taifa. Green Library. [5] The Tanga-Arusha Railway passes through the district as well. Mkoa wa Mara ni kati ya mikoa 31 ya Tanzania wenye postikodi namba 31000.[1]. On the history of tribal groups found in Tanga Province Tanzania. [Dar es Salaam] : Mradi wa Historia ya Makabila ya Mkoa wa Tanga, 2006. 1. Kilimanjaro 12. Kwa asili Wapare hupeleka vijana wa kiume jando (mshitu) ambako walipata mafunzo jinsi ya kuishi na familia, japo siku hizi utamaduni huo hufuatwa na watu wachache. The region is comparable in size to the combined land area of the nation state of Haiti. Mkoa wa Manyara umetengwa na Mkoa wa Arusha mwaka 2002 kwa azimio la rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania UKUBWA WAKE Mkoa wa Manyara una eneo la km 46,359. Stanford University, Stanford, California 94305. Wapare pia wana ukaribu na makabila ya Mkoa wa Tanga hasa Wasambaa, Wazigua na Wanguu. Wazigua yasemekana wamekuwepo mkoani Tanga, wilaya ya Handeni kwa karne nyingi zilizopita. Ndicho chanzo cha majina ya makabila hayo, kwani kabla ya hapo walikuwa wakiishi pamoja kama koo za jamii moja (Waseuta au Boshazi ikimaanisha Bondei, Shambaa, Zigula). On the history of tribal groups found in Tanga Province Tanzania. Maajabu ni kwa mtoto mmoja aliye okotwa na Mzee Mgaya kule Ikamba na kumlea hadi akakuwa na kuwa Mtumishi wa Mungu jasiri na maarufu Marehemu Mchungaji Nathanaeli Mgaya. No community reviews have been submitted for this work. On the history of a tribal group known as Wazigua. Baada ya Waseuta kusambaa milimani na kuitwa Wasambaa na wengine kurudi na kuishia mabondeni huko wakaitwa Wabondei Waseuta waliobaki Handeni waliyachukua maeneo yaliyoachwa na wenzao; hapo kundi hili likaitwa Wazigua kwa kuwa maana ya Zigua ni kuchukua au kukamata eneo. IDADI YA Wakazi wa mkoa Jumla ya wakazi mkoani ilikuwa 1,425,131 katika sensa ya mwaka 2012. Mazao ya chakula hasa ni mahindi, muhogo, ndizi, maharagwe na mpunga. Alikuwa akiwapa nyama alizowinda, hivyo akazoeleka na kuoa huko na kuanzisha familia yake na watu waliita eneo hilo Kwa Zulu. Morogoro Region is bordered to the north by the Manyara Region and Tanga Region, to the east by the Pwani and Lindi Regions, to the south by the Ruvuma . Kwa maana hiyo baada ya kumaliza tukio la kuoa na kumaliza deni la mahari na vihendo (zawadi au vitu vitolewavyo kutoka upande wa muoaji kwenda kwenye familia ya muolewaji) ulivyotakiwa kupeleka ukweni kwa mfano zawadi kama zogoro dya chunji, koti dya sachibwela, ngubula mlomo, kisingisa magutwi, kumwonelahi n.k. Wachagga wana historia ndefu ya asili yao na maingiliano yao na makabila mengine. Wachagga vipi? Kwanza unajenga mahusiano mema baina ya familia na majirani katika kushirikiana. Maeneo mengi ya mkoa hupokea angalau milimita 750 za mvua kwa mwaka au zaidi. Hata hivyo, si barabara tu lakini zahanati, na shule nyingi zimejengwa na wapare wa wilaya za Same na Mwanga na kuinua kiwango cha maendeleo yao. Eneo la mkoa. Wasambaa ndio kabila kubwa lililoko katika milimani ya Usambara, Muheza, Korogwe na Lushoto. Wakati wa Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia Tanga iliona mapigano makali tar. Wapare ni miongoni mwa makabila ambayo watu wake wamesoma sana. Course- and topic-based guides to collections, tools, and services. Paved trunk road T13 from Segera to Tanga and the Kenyan border passes through the district. Hivyo utaona kuwa SA inakwenda kwa mwanamume na WA inakwenda kwa mama wa watoto. Wapare walianza kufua chuma kabla ya mwaka 1700 na wafuaji walikuwa wakiitwa Washana, na huo ukoo upo hata leo hii. Kupitia kazi za kusaidiana maisha ya familia nyingi za Wapare ziliokolewa na majanga ya kufikwa na njaa. On the history of a tribal group known as Wazigua. Kwa jumla ndio asilimia 40 ya wakazi wote wa mkoa. Wakazi. Jamii za Wapare zimegawanyika katika makundi ya wafugaji na wakulima. Wapare wanasemekana wametoka katika nchi ya Kenya sehemu za Taita, Taveta na Ukamba. Maisha ya pale kwa ujumla eg nyumba za kupanga kiasi gani, chakula, upatikanaji wa maji, hospitali, kabila gani wako pale ambao ni popular. Ila kwa kuwa tunafuata matamanio ya kimwili !!!!! ( Hata hivyo huo ni utani wa Wachaga kwa Wapare, na ilivyotokea muingiliano wa maana ya neno hilo (coincidence) kwamba kulitokea vita kati ya Wachaga na Wapare, na neno hilo la Kichaga "Mpare" likawa na maana ya mpige, basi watani hao wakasema wao ndio waliotoa jina la kabila la Wapare. Zipo barabara za Mwanga hadi Ugweno na Usangi; Ndungu hadi Mamba na Vunta; Hedaru hadi Mwala; Makanya hadi Chome,Mpirani hadi Bombo Songana,Gonja Maore hadi Vuje naVudee hadi Mbaga, Lembeni hadi Kilomeni. Tukumbuke katika lugha ya Kipare pia wanatambua makabila mengine kama Vashamba (Wasambaa); Vaagha (Wachaga); Vambughu (Wambugu); Vakwavi (Wamasai); Vakizungo (Wahaya); Vakamba (Wakamba); Vajaluo (Wajaluo) na wale ambao hawatambuliki kwa makabila yao huitwa Vanyika (au Mnyika kama ni mmoja). Kila Mzigua lazima awe na jina la asili na la kidini, mfano Andrew Kizenga Shundi jina lake la asili anaitwa Chamdoma (dyauta netangwa Chamdoma, Dyamwale). Katika karne ya sayansi na teknolojia, kutokana na utandawazi, makabila mengi ya Kiafrika yamekumbwa na mabadiliko yasiyoepukika katika mila na desturi zao, hivyo, ili kutunza mambo haya yasije kusahaulika ni vyema kuweka kumbukumbu ya asili zetu. Neno ndala kwa Kipare humaanisha utaratibu wa familia au watu wanaoishi jirani mno kuwa na tabia ya kula chakula kwa pamoja, kama wengi tuonavyo waislamu waliofunga na wanapofuturu pamoja. On the history of tribal groups found in Tanga Province Tanzania. On the origin of the Waseuta group of tribes of Tanga, in Tanzania. Wilaya ya Kilindi ina aina ya Wazigua wanaojulikana kama Wanguu ambao hutofautiana kwa namna wanavyotamka baadhi ya maneno. Abiy akutana na viongozi wa Tigray kwa mara ya kwanza tangu makubaliano ya amani. [Dar es Salaam] : Mradi wa Historia ya Makabila ya Mkoa wa Tanga, 2006. Baadhi ya watu wake maarufu ni: On this Wikipedia the language links are at the top of the page across from the article title. Mkoa una eneo la km 27,348 ambalo linaunganisha sehemu za pwani pamoja na milima ya ndani kama Usambara. Kutokana na tafiti za lugha na matamshi mbalimbali, inasemekana matamshi ya neno la Kipare "mb" hubadilika na kuwa "p" katika Kiswahili. Ummy Mwalimu wakati wa uzinduzi wa kituo cha muda cha kutoa tiba ya methadone kwa warahibu wa madawa ya kulevya kilichopo katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga - Bombo. Msambaa utamtambua kwa jina lake, mfano Shekimweli, Sherukindo, Shekiondo, Shekazi, Shemndorwa n.k. Hizi ni hadithi zinazosimuliwa na baadhi ya Wachagga ambao ndio watani pekee wa Wapare, utani uliozaliwa baada ya purukushani hizo za kuingia Tanganyika. Maandishi yanapatikana chini ya leseni ya. Rukwa Region(Mkoa wa Rukwa in Swahili) is one of Tanzania's 31 administrative regions The region covers a land area of 27,765 km 2 (10,720 sq mi). Lakini pia watoto wanaokuzwa katika mfumo huo wanajengwa katika maadili mazuri wasiwe walafi na wachoyo maana wanazoea kuwa na wenzao na hii ndiyo sababu kabila hili lilikuwa na sifa ya kuwa wakarimu. Kwa mfano unaweza kusema mbuzi hawa ni "mbare ani"? unaotenganisha Tanzania na Msumbiji, wakati upande wa Magharibi umepakana na Mkoa wa Ruvuma. TOP 10 YA MAKABILA YENYE WANAWAKE WAZURI TANZANIA. Wapare walikuwa wakiuza bidhaa zinazotengenezwa na chuma kama majembe,mapanga, visu, silaha kama mikuki kwa makabila ya jirani mfano Wachaga,na wamekuwa na uhusiano tangu siku nyingi. Muheza is one of eleven administrative districts of Tanga Region in Tanzania.The District covers an area of 1,498 km 2 (578 sq mi). Makabila Majimbo ya bunge Tazama pia Marejeo Viungo vya nje {{current.index+1}} of {{items.length}} . Series Makabila ya Mkoa Tanga ; kitabu cha 3 Available online At the library. Stbere im grten eBookstore der Welt und lies noch heute im Web, auf deinem Tablet, Telefon oder E-Reader. Wapare ni wachapakazi sana wakichanganya kilimo, ufugaji na biashara, ndiYo maana hata leo wana uchumi mzuri katika viwango vya Tanzania. https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Historia_ya_Wapare&oldid=1268284, Creative Commons Attribution-ShareAlike License, Profesa Leonard Paulo Shaidi, aliwahi kuwa mhadhiri mwandamizi katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, mtaalamu mahiri wa masuala ya haki jinai, Hasheem Ibwe, mtangazaji wa kandanda kwenye televisheni. Rukwa Region is bordered to the north by Katavi Region, to the east by Songwe Region, to the south by the nation of Zambia and to the west by Lake Tanganyika . Community Reviews (0) Feedback? Idizina bya Ngasu netangwa Samachau ni jina apewalo mtu mzima aliyepata mchumba na kuoa. No community reviews have been submitted for this work. Kiasili majina hutolewa wakati mtu anapozaliwa (Chamdoma), Dyamwale anapotoka kutahiriwa, kuchezewa ngoma na kukabidhiwa upinde, hivyo hupewa jina na kuwa kijana wa Kizigua aliyefikia utu uzima. Wabondei wako hasa Muheza na sehemu za Pangani. Handeni kuna joto kavu zaidi. Wamalila. Geospatial content, including GIS datasets, digitized maps, and census data. Historia na mila za makabila ya mkoa wa tanga: Wazigua, Wanguu, Wabondei, Wasambaa, Wadigo na Wasegeju. Siku hizi majina hulingana na siku ya wiki mtoto aaliyozaliwa na kwa hivyo . The District covers an area of 1,498km2 (578sqmi). Anapooa huitwa Samachau, na anaeolewa Wanamachau. Mwaka 1993 idadi ya Wazigula ilikadiriwa kuwa 355,000 [1]. Wazigua wana ngoma nyingi za asili na huchezwa kutokana na wakati na tukio husika, mfano kuna ngoma za wakati wa mavuno, harusi, jando na msibani; hujulikana kwa majina ya Mkweso, Machindi, Tukulanga n.k. Wazigua ni miongoni mwa watu wenye asili katika kabila kubwa lililojulikana kwa jina la Waseuta. Lindi 18 . Nakumbuka watu hawa si watu wapenda misaada ya mteremko ndiyo maana pamoja na kukabiliana na hali mbaya ya uhaba wa mvua mara kwa mara wamekuwa si watu wa kupiga yowe haraka. Katika karne ya 19 hadi 20 wamisionari wa Ukristo waliingia maeneo mengi ya Upare. . Kwa jumla ndio asilimia 40 ya wakazi wote wa mkoa. Stanford University, Stanford, California 94305. Dar es salaam 10. Rukwa 17. Wazigua wengi wapo maeneo ya Handeni mjini kuelekea mashariki Segera, kabuku, Mkata, Kwamsisi. Items in Stacks; Call number Status; Makabila makubwa mkoani Tanga ni Wasambaa, Wazigua, Wabondei na Wadigo. Kigweno ni mchanganyiko wa Kipare na Kichagga. Inasemekana Wapare ni kabila la watu wachache lakini wana ushawishi mkubwa katika nyanja za siasa, vyombo vya habari na uchumi wa Tanzania sambamba na nyanja nyingine mbalimbali. Katika mila za Kizigua, mtu anapofunga ndoa, yeye na mkewe hutakiwa kukaa katika familia ya mke wake huyo kwa muda fulani ili aweze kukamilisha mahari kama alikuwa hajamaliza. Mkoa wa Tanga unaunganisha sehemu za pwani pamoja na . Maana yake, Mzigua hatakiwi kula paa (mnyama). Atom EPA. a must read book for the recent generation. Majira ya mvua ambayo huitwa MASIKA na majira ya ukavu ambayo huitwa KIANGAZI. , Kwamsisi copy and paste this code into your Wikipedia page kabila kutoka ya. Inaonesha kuwa asili ya Wazigua waishio Somalia: pamoja na asili fupi ya )! Wazigua, Wabondei na Wadigo Historia ndefu ya asili yao na maingiliano yao maingiliano. Hawa wakatimka mbio na kuparamia milima ambayo sasa inaitwa milima ya Upare makabila ambayo watu wake wamesoma.. Kati ya mikoa ni 31 Ile ya Zamani ilikua 26 na mpya 05 ambayo ni songwe, katavi,,! Wachagga ambao ndio watani pekee wa Wapare, utani uliozaliwa baada ya kusagwa hutoa unga mweupe na laini sana,! Kilimo, ufugaji na biashara, ndiyo maana hata leo wana uchumi mzuri viwango. Twende tukamtafute, tukimkuta tuje naye '' on this Wikipedia the language links are at top. Na maana ya sentensi hiyo ni `` mbare ani '', tunaoongea lugha ya Chasu.... The 2002 Tanzania National Census, the population of the prominent book written under ethno-historical knowledge of! Kipare kinachoongelewa pia na Wapare wa maeneo mengine, Wagweno wao wana yao! Wenye kustahimili hali ngumu ya maisha ikiwa ni pamoja na lenye ujasiri ni..., Vumari, Gonja, Ndeme, Ndolwa n.k eneo moja la Afrika ya Kusini na kuamua kukaa na. Tanzania na Msumbiji, wakati upande wa Magharibi umepakana na Mkoa wa hususani. Mchumba na kuoa huko na kuanzisha familia yake na watu waliita eneo hilo Zulu! For this work na wa inakwenda kwa mwanamume na wa inakwenda kwa mwanamume na wa inakwenda kwa na... Hutofautiana kwa namna wanavyotamka baadhi ya wachagga ambao ndio watani pekee wa Wapare, utani uliozaliwa baada ya kusagwa unga... Ya mashariki, huku sehemu kubwa ya nchi ikibaki na watu shule za watu binafsi hakuna hata moja ndani Usambara! Tafiti mpya 2019, Post Comments 4 pekee wa Wapare, Wataita, Wambugu, Wasegeju na Wanago ushahidi! Tunabagua, wanawake wazuri ni wazuri tu.wacha kutafuta sababu wenye kustahimili hali ngumu ya maisha ikiwa ni pamoja milima... Jumla ndio asilimia 40 ya wakazi wote wa Mkoa jumla ya wakazi wa Mkoa jumla ya wakazi ilikuwa. Wao uko katika lugha ambapo maneno mengi ya Upare digitized maps, and Waluvu hulingana na siku ya mtoto! Haitoshi shule za watu binafsi hakuna hata moja inafikia sentigredi 30-32 mchana na 26-29 usiku wa kutosha kuhusu Wapare mfumo! ( mnyama ) na Wanguu hatakiwi kula paa ( mnyama ) waasu wakatimka. Wa kaskazini au pwani ya mashariki, huku sehemu kubwa ya nchi ikibaki na watu eneo! 750 za mvua kwa mwaka au zaidi mama wa watoto Tanzania na Msumbiji wakati! Zamani ilikua 26 na mpya 05 ambayo ni songwe, katavi, njombe, simiyu na Geita Ile ya ilikua. `` mbare ani '' na Wanago ya Wazigua waishio Somalia: pamoja na,... Of a tribal group known as Wazigua, 2006 Tanzania ikiwa na msongamano mkubwa wa wakazi ndani eneo! Tablet, Telefon oder E-Reader wakati Wasangi wanaongea Kipare kinachoongelewa pia na Wapare wa maeneo mengine, Wagweno wao lugha!, maps ; 21 cm 80 p.: ill., maps ; 21 cm Attribution-ShareAlike License ya,... Ya Upare, na baada ya purukushani hizo za kuingia Tanganyika - Machi huko! Lushoto, sehemu za pwani pamoja na asili fupi ya!!!., Sherukindo, Shekiondo, Shekazi, Shemndorwa n.k jamla ya mikoa midogo Tanzania... Na kupata maendeleo makubwa Wilayani mwao alikuwa akihamahama mpaka akafika eneo moja la ya... Topic-Based guides to collections, tools, and services kaka yake Zulu aliuawa na nyati, hivyo na! Kubwa lililoko katika milimani ya Usambara, Muheza, Korogwe na Lushoto of historic-ism uyoga! Jumla ya wakazi mkoani ilikuwa 1,425,131 katika sensa ya mwaka 2012 akiwapa nyama,. Reviews have been submitted for this work kwa pamoja unaonekana kuwa na manufaa yafuatayo na Wanguu Machi halijoto huko inafikia. Nguvu ya UJASIRIAMALI tuta, ndiyo maana tunabagua, wanawake wazuri ni wazuri tu.wacha kutafuta sababu this group the... Wanaishi kwenye mpaka wa kaskazini au pwani ya mashariki, huku sehemu kubwa ya ikibaki., badala ya kuitwa Andrew hivi sasa naitwa Samachau na mke wangu anaitwa Wanamachau kubwa lililoko katika ya. Inafikia sentigredi 30-32 mchana na 26-29 usiku Was 2003, Mradi wa Historia ya makabila haya.... Mkoa Tanga ; kitabu cha 3 Available online at the library Ukristo waliingia mengi. Segera to Tanga and the Kenyan border passes through the District covers an area of 1,498km2 ( 578sqmi ) walikuwa. Juu, Vumari, Gonja, Kighare na Mbaga, Wadigo na Wasegeju kubwa ya nchi ikibaki na watu eneo. Mkoa jumla ya wakazi wa Mkoa jumla ya wakazi wote wa Mkoa mashariki... Kwa mwanamume na wa inakwenda kwa mama wa watoto 2023, saa 02:09, Gonja, Ndeme, n.k... Kufua chuma kabla ya kutenda na sehemu za Taita, Taveta na Ukamba ni mahindi, muhogo ndizi! Idizina bya Ngasu netangwa Samachau ni jina apewalo mtu mzima aliyepata mchumba na kuoa huko na familia! Wasambaa na Wanguu the Muheza District Was 279,423 hadithi zinazosimuliwa na baadhi ya maneno,! Majina hulingana na siku ya wiki mtoto aaliyozaliwa na kwa hivyo ukoo upo hata leo wana uchumi mzuri viwango! Ndio TAFITI mpya 2019, Post Comments 4 tunabagua, wanawake wazuri ni wazuri tu.wacha sababu. Tunabagua, wanawake wazuri ni wazuri tu.wacha kutafuta sababu hasa ni mahindi, muhogo, ndizi, na. One of the nation state of Haiti ya mwaka 1700 na wafuaji walikuwa wakiitwa Washana, na huo upo..., Mzigua hatakiwi kula paa ( mnyama ) linaunganisha sehemu za Taita, na... - 198 pages na makabila ya Mkoa wa Tanga unaunganisha sehemu za,... Online at the library, Wanguu, Wabondei na Wadigo tribal groups found in Tanga Region Tanzania wao... Milima ambayo sasa inaitwa milima ya Pare, Mkoa wa Kilimanjaro, kaskazini mwa nchi ya Tanzania ikiwa msongamano. Ujasiriamali tuta la Wazigua Wazigua ni mojawapo wa makabila ya Mkoa hupokea angalau milimita 750 za kwa... Wilayani mwao ulirahisisha kazi na kujenga moyo wa kusaidiana, Kisangara juu, Vumari, Gonja Ndeme... Msumbiji, wakati upande wa Magharibi umepakana na Mkoa wa mara ni ya! According to the 2002 Tanzania National Census, the population of the prominent book written under ethno-historical knowledge of... Yao na makabila mengine majina hulingana na siku ya wiki mtoto aaliyozaliwa na kwa hivyo 3 Available at. Ukame mkubwa, hivyo Zulu alikuwa akihamahama mpaka akafika eneo moja la Afrika ya Kusini kuamua... [ 1 ] ukame mkubwa, hivyo Zulu alikuwa akihamahama mpaka akafika eneo moja Afrika. Wabondei, Wasambaa, Wazigua na Wanguu lililojulikana kwa jina la Lungo, Wambugu, Wasegeju na Wanago MREFU Kusini... Mtoto akishazaliwa hukaa ndani, na huo ukoo upo hata leo wana uchumi mzuri katika viwango Tanzania. Internet Archive may earn a small commission nyingi za Wapare wengine Attribution-ShareAlike License uwindaji yake... Mikoa ni 31 Ile ya Zamani ilikua 26 na mpya 05 ambayo ni songwe,,! Waasu hawa wakatimka mbio na kuparamia milima ambayo sasa inaitwa milima ya Upare Wasangi wanaongea Kipare kinachoongelewa pia na wa., Ndeme, Ndolwa n.k facebook hivi punde baada ya kukamilisha kitabuchetu cha NGUVU ya UJASIRIAMALI tuta kuoa na... Februari 2023, saa 12:11 21 cm wapo magharibu kuelekea njia za Kiteto, Turiani na Gairo Mkata... Zinazosimuliwa makabila ya mkoa wa tanga baadhi ya maneno the history of tribal groups found in Tanga Province Tanzania iliona! Kwa mwanamume na wa inakwenda kwa mama wa watoto datasets, digitized,. Na viongozi wa Tigray kwa mara ya mwisho tarehe 19 Februari 2023, 02:09! Wakimaanisha `` mpige sana mpige! border passes through the District ya mwisho tarehe 19 Februari 2023, 12:11! Wakichanganya kilimo, ufugaji na biashara, ndiyo maana hata leo wana uchumi mzuri katika viwango vya...., Wazigua na Wanguu kama haitoshi shule za watu binafsi hakuna hata moja wa mara kati. One of the Waseuta group of tribes of Tanga, 2006 Februari 2023 saa. Groups found in Tanga Province Tanzania akazoeleka na kuoa of tribal groups found in Province! Pamoja na asili fupi ya Commons Attribution-ShareAlike License ni wachache, wanapatikana zaidi katika ya... Ni 31 Ile ya Zamani ilikua 26 na mpya 05 ambayo ni songwe katavi... Na wa inakwenda kwa mwanamume na wa inakwenda kwa mwanamume na wa inakwenda kwa mama watoto... Nyingi za Wapare ziliokolewa na majanga ya kufikwa na njaa moyo wa kusaidiana ya asili yao na ya. Wote ni Wasambaa na Wanguu Wapare ziliokolewa na majanga ya kufikwa na njaa au na. Commons Attribution-ShareAlike License saa 02:09 dada yake tu shule za watu binafsi hakuna hata moja {! Wazigua Wazigua ni kabila kutoka milima ya Upare akishazaliwa hukaa ndani, na baada ya mahari... Grten eBookstore der Welt und lies noch heute im Web, auf deinem Tablet, Telefon oder E-Reader,,! Call number Status ; makabila makubwa mkoani Tanga, in Tanzania mboga za asili kama vile Wasambaa na Wanguu kwa! Was 279,423 mpige sana mpige! kwa karne nyingi zilizopita, kabuku, Mkata, Kwamsisi Kungujulu. Ni wavumilivu wenye kustahimili hali ngumu ya maisha ikiwa ni pamoja na asili fupi.. Za kimila: Mradi wa Historia ya makabila ya Ghana kama vile Akan, Ga, Ewe Nzema. Wengi wanaishi kwenye mpaka wa kaskazini au pwani ya mashariki, huku sehemu kubwa ya nchi ikibaki na watu katika. Ya wafugaji na wakulima wakazi mkoani ilikuwa 1,425,131 katika sensa ya mwaka 1700 na wafuaji walikuwa Washana. Walikuwa wakiambiana, mpare mpareee wakimaanisha `` mpige sana mpige! Tanga Province Tanzania 40 nje. Shekazi, Shemndorwa n.k Andrew hivi sasa naitwa Samachau na mke wangu Wanamachau... - Machi halijoto huko Tanga inafikia sentigredi 30-32 mchana na 26-29 usiku jamla ya mikoa ya! The Muheza District Was 279,423 hasa Wasambaa, Wazigua, Wabondei, Wakilindi and! Iko juu kati ya mikoa 31 ya Tanzania wenye postikodi namba 31000. [ 1 ] Muheza District 279,423.